Waandishi ni
waongo and I'm sayying this again sijawahi kuongea na muandishi yoyote about
this...binti kiziwi ni ndugu yangu na sijawahi kujua wat she does to survive na
sijawahi kukutana nae airport yoyote akiwa na tatizo lolote so I know nothing
on this ones...they bin put me in e lots of headlines I never care thou but
this one hurts me more coz it consider my family,so please GLOBAL PUBLISHER
muache kuandika vitu vya uongo kupotosha jamii coz ni vingi sana mnaandika vya
uongo na kuipotosha jamii...Sandra is my young sisy and anything happens to her
ni mapenz ya mungu I'm praying for her but nimehuzunishwa na u guys kuandika
uongo wenu ili muuze magazet yenu fake...
Thursday, March 7, 2013
Friday, March 1, 2013
TICKETS ZAISHA NDANI YA DAKIKA 10 HII NI SHOW YA BEYONCE
Sekunde kadhaa
baada ya tiketi kuingia sokoni kwa ajili ya UK world tour ya Beyonce inayoitwa
"Mrs.
Carter" siku ya juma mosi asubuhi,kuuzika zote ndani ya dakika 10
(sold out) mashabiki waanza kufurika kwenye
internet na malalamiko kwamba
kila show ticket zimeisha na watu
wamejitosheleza (sold out)
lakini masaa machache baadae, scores za ticket zimeanza kujionyesha
kupitia katika
sites za brokers wakiziuza kwa paund 660 kila moja, ambayo ni zaidi ya shilingi 1,500,000 za kitanzania, na muuzaji mmoja akiuza ticket 6 kwa paund 2,000 kupitia eBay. |
kuuzika kwa ticket hizo na kumalizika ndani ya dakika 10,
kunasababisha kuwepo kwa
tuhuma kuwa inawezekana Beyonce na uongozi wake wamezinunua wenyewe, kama justine Beiber na Taylor Swift ambao walikamatwa wakifanya hivyo mwaka jana |
KAMA UMEZALIWA LEO FAHAMU UMEZALIWA NA JUSTIN BIEBER
Justin Drew Bieber is a Canadian pop musician, actor, and
singer-songwriter. Bieber was discovered in 2008 by American talent manager
Scooter Braun, who came across Bieber's videos on YouTube and later became his
manager.
Born: March 1, 1994 (age 19), London
Height: 1.70 m
Parents: Pattie Mallette, Jeremy Bieber
Movies and TV shows: Justin Bieber: Never Say Never, Angelina
Ballerina: The Next Steps
MUIMBAJI DON OMAR, MZEE WA DANZA KUDURO,ANAKABILIWA NA KESI
Muimbaji Don Omar, mzee wa Danza kuduro, anashtakiwa kwa kuingia
katika eneo la mtu bila ruhusa ikiwa ni pamoja na kutumia yatch kwa kurekodia
mziki wake huo bila ruhusa ya mmiliki wa yatch hiyo
yatch hiyo inayozungumziwa inaitwa Le Reve, ambayo inaonekana katika
dakika ya 2:15 ya video hiyo, ambapo inasemekana aliwaingiza watoto wazuri
katika yatch hiyo iliyokuwa imesimama na kurekodi nao..katika dakika hizo
ukiangalia vizuri utaona watoto wazuri wakitoka kwenye boat hiyo na kumfata Don
Omar ambae alikua anapita na kuondoka nae.
kutoka katika mashtaka hayo, hakuna mtu alieomba ruhusa yoyote ya kutumia
wala kushoot kwenye yatch hiyo.
mmiliki wa yatch hiyo, kampuni ya kireno, inamshtaki kwa kuingia eneo
husika bila ruhusa na kuichafua kampuni hiyo kwa kuwahusisha na video hiyo ya
kihuni
kampuni hiyo, inamshitaki, Don Omar,
record company yake na kila mmoja aliehusika katika utengenezaji wa video
hiyo..wakidai mpunga mnene
msemaji wa mwanamziki huyo ameiambia
TMZ kuwa Don amekanusha kuhusika chochote katika location za vido hiyo na
kusema kampuni iliyorikiod ndio inayohusika na kutafuta location pamojana
kukodisha yatch
Subscribe to:
Posts (Atom)