Pages

Labels

Wednesday, November 14, 2012

Ukweli huu hapa toka kwa daimond

                          

Alianza kwa kusema hivi "Tarehe 10 ya mwezi wa 11 siku ya juma mosi ni moja ya siku ambazo sitozisahau maishani mwangu.
Katika hali isiyo kuwa ya kawaida diamond amejikuta kwenye hali ya kumiza kichwa kwani huwa anatabia kila akimaliza kazi zake za kila siku huwa anakwenda kutembelea ndugu na jamaa ila siku ya jumamosi alipata ajali akiwa yeye na dancer wake pamoja na blogger wake namzungumzia bestzzo na wlikuwa wanakwenda masaki na walipo fika kwenye kona ya msasani ndipo ilitokea pikipiki nakukatiza gafla mbele ya gari ya diamond na katika harakati za kumkwepa ndipo akaigonga rav 4 na ndipo akagundua kuwa hakuna aliye umia ila kuna uharibifu mkubwa wa gari.
Akamaliza kwa kusema hivi(Namshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kutunusuru wote bila majeraha makubwa zaidi ya maumivu tu ya hapa na pale).


0 comments:

Post a Comment

 

Blogger news

Blogroll

About