Bronx bred Latino rapper Fat Joe, born Joseph Cartagena, huenda
akatupwa jela miaka miwili kwa kosa la kukwepa kodi kiasi cha dola za
kimarekani 3 million toka mwaka 2007,2008,2009, na 2010
Fat joe mwenye
umri wa miaka 42 ambaye amefanya kazi kwenye lebo ya big pun,terror squad na
nyingine nyingi,kesi yake iko kwenye mahakama ya (federal courthouse in New
Jersey).
according to
U.S. Attorney Paul S. Fishman.huyu mwanasheria anasema fat joe anakabiliwa na
madai haya $200,000 penalty, as unpaid taxes to the ;government totaled nearly
$718,038.hukumu ya kesi hii ni April,2013 na akikutwa na hatia atapigwa nyundo
2,a.k.a mvua mbili,yaani miaka miwili na kazi ngumu.
0 comments:
Post a Comment