Mastaa
wa marekani Kim Kardashian na Kanye West wamekata ofa ya dola za Marekani
milioni 3 sawa na takriban shilingi za kibongoa 4,680,000,000 kutoka kwa
mtandao mmoja wan je wa udaku ili wawe wa kwanza kupiga picha za mtoto wao wa
kwanza.
Vyanzo
vya habari zimedai kuwa wawili hao hawana mpango wa kuuza picha za mtoto wa kwa mtu yeyote.
Hata
hivyo wachambuzi wa mambo wanadhani hii ni taarifa ya kutungwa ili kuongeza kiu
ya watu kutaka picha hizo hivyo kufanya dau kuongezeka.
0 comments:
Post a Comment