Albam ya Nathaniel Dwayne Hale(nate dogg)ambaye alizaliwa August
19, 1969 na kufariki March 15, 2011,huko Long Beach, California,inadondoka
mwakani 2013,na itasimamiwa na Seven Arts Music and United Media and Music
Group.
Seven Arts Music ndo wametangaza ujio huo wa albam ya nate dogg itayoitwa,
Nate Dogg: It’s A Wonderful Life.
Ikiwa na wakali kibao kama Dr. Dre, Snoop Dogg, Eminem, Mary J. Blige and
Jay-Z.
Pia Seven Arts Music, wametangaza ujio wa albam ya,Cleveland, Ohio Hip-Hop
group Bone Thugs-N-Harmony.ambayo inaitwa
Art of War III,ita drop
kitaa May 21, 2013.na single ya kwanza kwenye hii albam inaitwa“Bring it Back,”
featuring the Game na kwa radio itaachiwa January 27, 2013.
No comments:
Post a Comment