50 cent anasema mzigo
unadrop rasmi November 13th ukisimamiwa
na Shady/Aftermath/Interscope albam itakayoitwa Street King Immortal.
Natayari single ya kwanza ya hii albam imetoka inaitwa "New Day" featuring Dr. Dre and Alicia Keys . kabla hajaaachia hiyo
classic material jamaa anadondosha kanda mseto kwa mtaa mzigo utakaoitwa 5 (Murder By Numbers).kamkao kwa kazi ya huyu jamaa.
Wednesday, November 28, 2012
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment