Pages

Wednesday, November 28, 2012

ALBAM YA TANO YA 50 CENT YADONDOKA RASMI.


50 cent anasema mzigo unadrop rasmi  November 13th ukisimamiwa na Shady/Aftermath/Interscope albam itakayoitwa Street King Immortal. Natayari single ya kwanza ya hii albam imetoka inaitwa "New Day" featuring Dr. Dre and Alicia Keys .  kabla hajaaachia hiyo classic material jamaa anadondosha kanda mseto kwa mtaa mzigo utakaoitwa 5 (Murder By Numbers).kamkao kwa kazi ya huyu jamaa.

No comments:

Post a Comment