THE VIRGINIA EMCEE Terrence Thornton aliyezaliwe May 13, 1977),waweza
muita PUSHA T ambaye mpaka sasa ameshafanya collabo na wenzake wa g.o.o.d music
kwenye ngoma kama "Mercy"na "Don't
Like."kwa sasa pusha T yupo tayari kwakutoa mzigo wake
unaojulikana kama My Name is My Name.
Jamaa anasema mzigo unadondoka mwanzoni mwa 2013,pia jamaa
amesema mwishono mwa mwaka huu,mixtape inaitwa Wrath of Caine
No comments:
Post a Comment