Mrs
Folorunsho Alakija mfanyabiashara ya mafuta huko naijeria ndiye mwanamke
anayemiliki mkwanja mrefu kuliko wanawake wote Africa.hii ni kwamujibu wa Forbes
November 2012.anautajiri wa dorali za kimarekani $600million,kwa naira za
naijeria ni N94 billion.anaumri wa miaka 61 ameolewa na anawatoto 4 wakiume.
Mrs Folorunsho Alakij was born in 1951 into a large
polygamous family, her dad was said to have 8 wives and 52 children in his
lifetime. At the age of 7, she was sent to a private school in wales along with
her younger sister Doyin. Because the “oyinbo” kids couldn’t pronounce their
names properly, they coined the name FLO for folorunsho and DOLYE for Doyin.
No comments:
Post a Comment