Rita Sahatçiu Ora(Rita Ora) amezaliwa 26 November 1990 ni muingereza japo kwasasa
kazi zake zinasimamiwa na roc nation ya jay z tayari albam yake inafanya vizuri
inaitwa Ora na imeshika nafasi
yakwanza uk pia ngoma yakeHot Right Now",imeshika nafasio ya 3 pia single yake ya R.I.P." imeshika
nafasi yakwanza uk.
No comments:
Post a Comment