rapa Eve
ametoa ngoma nyingine kwa kuachia she
bad bad remix akiwa na Pusha T na Juicy J na Chrisette Mishele, Productions ya
Swizz beatz na wengineo, mara baada ya kutangaza ujio wa álbum yake mpya
inayoitwa lip lock, anayotarajia kuiachia Tarehe 14 mwezi wa tano
Thursday, January 24, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment