Baada ya fans
wa tyga kusubiri albam yake kwa hamu,march 19 mzigo umeahirishwa tena na hivyo
utatoka April 9th online na nakitaa utadondoka May 21st. .sababu za
kuchelewa nikwamba ngoma waliyokuwa wafanye na chriss brown ilichelewa kutoka
ngoma inaitwa “For The Road,hivyo imetoka wiki iliyopita.albam inaitwa hotel
calfornia.angalie cover ya hii albam hapa
Thursday, March 7, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment