Akiwakilisha
bongo huku akiwa mbele (ulaya) Solo Thang anakuja na project aliyoipa jina la
‘S.U.MU’ (Siasa Ujinga Maradhi na Umasikini).
Kupitia Blog yake Solo amendika hivi:
“ Juzi kati nilitimba studio za Roof records ndani ya mitaa ya
Dublin Ireland kwa mara ya kwanza tangu nilipotoa Album ya I AM TRAVELLAH vol
1,,chini oya producer TONY,,nashkuru siku ilikua nzuri na kilichopikwa
kimepewa jina la SUMU ambapo kirefu chake ni SIASA UJINGA MARADHI na UMASIKINI!
S.U.M.U ndio itakua project mpya yangu kwa lugha ya kiswahili,,itakua na ngoma zaidi ya 14,,project hiyo inatarajiwa kuwa tayari mwakani kipindi cha summer!”
S.U.M.U ndio itakua project mpya yangu kwa lugha ya kiswahili,,itakua na ngoma zaidi ya 14,,project hiyo inatarajiwa kuwa tayari mwakani kipindi cha summer!”
0 comments:
Post a Comment