Pages

Labels

Tuesday, December 18, 2012

LULU ABADILISHIWA KESI,KUSIKILIZWA DEC 21


Msanii wa filam nchini Elizabeth Michael anayekabiliwa na kesi yakumuuwa steven kanumba kwakukusudia,kwasasa amebadilishiwa hati ya mashitaka nasasa anashitakiwa kwa kosa la kuuwa bila kukusudia.
Hatu hiyo inatokana na upelelezi wa kesi hiyo kukamilika,iliyofunguliwa katika mahakama ya hakimu mkazi kisutu dare s salaam mbele ya hakimu mkaziagustina mmbando.kesi hiyo itasomwa dec 21 mwaka huu.

0 comments:

Post a Comment

 

Blogger news

Blogroll

About