Pages

Labels

Monday, December 31, 2012

SINZA: KUANZIA SHEKILANGO MPAKA BAMAGA KUNA BAA 250!



 Jamaa kahesabu bar zilizopo kando mwa barabara ya Shekilango - Bamaga kapata jumla baa 250 alikuwa anahoji mameneja kuhusu mteja kilevi kikimzidi wanafanyaje... Ni Baa mbili tu zina vyumba vya kuwahifadhi wateja waliozidiwa kwa kukata maji yenye rangi ya mende!
Hii ndo Sinza kwa wajanja! kwa mujibu wa sensa ya mwaka 2002 sinza inawakazi 36,469. source jamii forum

0 comments:

Post a Comment

 

Blogger news

Blogroll

About