dear god inazidi kufanya vizuri sana africa mashariki,hasa kenya buruindi na
tanzania,lakini pia utafiti unaonyesha kuwa dear god ni wimbo wa kwanza wa hip
hop kutokea bongo kukubalika kwa watu wa aina na lika zote, hapa namanisha,
maaskofu, wachungaji ma padri,maimamu, mashekhe,walokole, waislam,wazinzi,
vibaka, wababa, wamama, watoto,masela, na masister du.
kwa kifupi
kila mtu aliyeusikia kaukubali kwa asilimia mia, hili kwangu ni bonge la
zawadi,asante mungu,
lakini pia
umekuwa wimbo wa kwanza kutengeneza meseji (sms) ambayo imetumwa karibu kwa
kila mtanzania mwenye simu.asante mungu,lakini pia umekuwa kati ya nyimbo
chache sana za hip hop tanzania ambazo hata dada zetu wameweza kuzikariri na
kuuchana.hiyo inaonyesha kuwa hip hop inapendwa na kila mtu. asante dear god
kwa hili shavu jingine.
0 comments:
Post a Comment