Pages

Labels

Tuesday, January 22, 2013

HUENDA G UNIT WAKARUDI UPYA KAMA ZAMANI.



Achilia mbali uvumi ulionea kwamba kuna uwezekano wa G.Unit kurudi imepita karibia miaka 10 toka aonekana 50 cent akishika mic akiwa na wenzake wanounda kundi la G.Unit. Kwenye mahojiano juzi kati na Wall Street Journal, Meneja wa The Game alisema anafanya mpango arudishe kundi la G.Unit.
Kidd alisema tena kwamba ingawa bado wajafikia hatua za mwisho za kurudisha kundi hilo lakini The na Fif wanaona faida za kibiashara endapo watakubali kuungana tena na kurudisha G.Unit.
Dontay “Taydoe” Kidd alifunguka kwa Lee Hawkins kwamba amekuwa akifanyia kzi swala la emcee huyo kutoka Compton The Game kurudi kwenye kundi lake la zamani la G.unit

0 comments:

Post a Comment

 

Blogger news

Blogroll

About