Pages

Labels

Tuesday, January 22, 2013

JANUARI 25 HUENDA LULU AKAPATA DHAMANA.


Januari 25 mwaka huu, Mahakama kuu kanda ya Dar es Salaam itasikiliza ombi la kupatiwa dhamana kwa msanii maarufu wa BongoMovies Elizabeth Michael (LULU) ambaye anakabiliwa na kesi ya kuua bila kukusudia.

Wakili wa Lulu (Mr. Kibatara) ameiomba mahakama kumpatia mteja wake dhamana kwa kusisitiza kuwa "Elizabeth Michael (LULU) ni mtu maarufu nchini na yupo teyari kuyatimiza masharti ya dhamana bila tatizo lolote".

Hii ni kufuatia hatua ya Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Kisutu Christine Mbando ya Desemba 21 mwaka jana ,kuifunga kesi ya kuua bila kukusudia katika mahakama ya kisutu na kuihamishia rasmi kesi hiyo katika Mahakama Kuu.

0 comments:

Post a Comment

 

Blogger news

Blogroll

About