Reggae superstar Shaggy ameingia katika tetesi za uongo za kuzushiwa kifo (victim of a celebrity death hoax)ambapo siku ya jumatano (23Jan13)jana kulitoka ripot ya uongo kuwa shaggy amekufa katika ugomvi wa bar huko Los Angeles kitu ambacho kikapelekea katika encyclopedia Wikipedia kua update historia ya shaggy nakusema amekufa . msemaji wa shaggy ameuambia mtandao wa TMZ kuwa ni uongo.
Amesema ("I can happily report that he’s (Shaggy)
alive and kicking and in the same building as me right now as we speak.")
Hii si mara yakwanza kwa shaggy kuzushiwa kifo,kwani April mwaka uliopita(2012)tetesi zilizagaa kwenye internet kuwa shaggy amekufa baadae ikajuluikana ni uongo baada ya shaggy kujitokeza kwenye page yake ya twitter.

Shaggy Death
Rumours Are False.
0 comments:
Post a Comment