mwanamuziki wakike wa kizazi kipya wa mtindo wa bongofleva
judith wambura (lady jaydee) ameiomba serikali ishirikiane naye katika
kuzitangaza ndani na nje ya mipaka ya tanzania hifadhi za taifa ukiwemo mlima
kilimanjaro.
lady jaydee ametoa changamoto hiyo alipoongea na waandishi wa habari katika kituo cha kwanza cha kupumzika cha mandara baada ya kuanza kuupanda mlima huo akiwa na mumewe gardner g habash.
lady jd amesema lengo lake kubwa ni kuwahamasisha watanzania wakiwemo wasanii wenzake kujenga utamaduni wa kupanda mlima huo badala ya kuwaachia watalii,pia ameshapanda mlima table wa afrika ya kusini na kuzitembelea hifadhi za serengeti na ngorongoro
waongoza watalii wa kampuni ya kilidove ya arusha gastor mosha na deo urio wanayemuongoza msanii huyo wamesema, lady jaydee atakuwa msanii wa kwanza kupanda na kufika kilele cha mlima huo kama atafanikiwa hadi kilelen.

0 comments:
Post a Comment