Ryan Leslie ameamuriwa kulipa kiasi cha dola laki moja na
themanini kama adhabu baada ya kukataa kumlipa Armin Augstein ambayo ndiye
aliyeokota backpack, la ryan likiwa na laptop, external hard drive, jewelry and
cash ambalo alipoteza huko Cologne, Germany mwaka 2010.
Ndipo alipotoa donge nono la dola laki mbili za kimarekani kwa
yoyote atakae vipata hivyo vitu kwani kwenye laptop kulikuwa na albam kadhaa
ngoma kadhaa pamoja na documents muhimu.
Baada ykuona havipati ndipo alipoongeza dau na kufikia dola
million 1.ndipo mjerumani Armin Augstein alipovileta kwani alidai ameviokota
msituni.
Kimbembe nikwamba kila kitu kilikuwa kimeharibika file zote
zilikuwa zimecorupt hivyo ryan akakataa kulipa hiyo pesa.
Kwa mujibu wa ABC NEWS,judge amemuamuru jamaa amlipe huyo mjerumani mkwanja
wake,kwa sababu anamkanda wa video wa ryan wakati akitoa donge nono.
Lakini wakili wa ryan leslie amekata rufaa.
0 comments:
Post a Comment