Pages

Labels

Friday, January 4, 2013

NATAKA KULEWA (LEWA) YAMTOKEA PUANI KAHABA HUKO BONDENI


Katika  hali isiyokuwa ya kawaida wapenzi wa mpira waliofika kuangalia mechi kati ya (Pirates vs Chiefs ) huko nchini Afrika Kusini walipata kuona kioja cha mwaka pale waliposhuhudia Dada mmoja akivua nguo na kubaki na chupi kisha kuanza kucheza mbele ya wanaume bila kuona aibu mbele ya umati wa watu.....

Sakata hilo lilichukua  sura mpya baada  ya wanaume kutaka kumparamia  kwa lengo  la kumbaka.

Askari  polisi  walisaidia  kuzima timbwili  hilo  kwa kumchukua na kumuondoa mwanamke  huyo  ambaye inasemekana alikuwa  amelewa

0 comments:

Post a Comment

 

Blogger news

Blogroll

About