Mkali wa
BongoMovies Vicenti Kigosi "Ray" ameamua kufunguka na kuelezea juu
kupungua sana kwa mwili wake kufuatia habari mbalimbali za uzushi zinazoandikwa
kwenya vyombo mbalimbali vya habari Hivi karibuni.
Akizungumza kwa
simu "Ray" amesema kupungua kwa mwili wake kunatokana na kufanya
mazoezi ya viungo asubuhi na jioni kila siku pamoja na kujiweka fiti kwa ajili
ya movie yake mpya anayoifanya sasa ambayo amesema itakuwa ni ya tofauti na
kimapunduzi zaidi tofauti na watu walivyomzoea. Angalia Ray alivyo sasa hapo
chini na tupe maoni yako.
0 comments:
Post a Comment