Katika mahojiano Waliyofanya Wiz Khalifa na Ambe Rose
walifunguka juu ya mipango yao kuhusu Amber Rose kujifungulia nyumbani huku Wiz
Khalifa akimsaidia kujifungua akiwa Dakatari. Wiz Khalifa na Amber kupitia The
Big Boy Radio show walisema watafanya kila kitu nyumbani atajifungulia hapo,
wako nyumbani na wataalamu ambao wanawafundisha kila kitu, siku ambayo ndo
itakua tayari kujfungua ni Dokta Wiz Khalifa ndo atakuwa wakwanza kumshika
kumtoa mtoto wake.
Monday, February 11, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment