Akiongea na mtv news,
co-founder of Cash
Money Records pamoja na YMCMB, Bryan Williams (Birdman )ambaye amezaliwa February 15, 1969,huko new Orleans,Louisiana nampaka
sasa anamiliki mkwanja kibindoni, US $110 million mpaka 2011. birdman,amesema
wameamua kuteka soko lote la mziki japo albam 100 kuzitoa kwa kwa mwaka ni inshu
ila anasema wanawasanii wengi kiasi ambacho wakiamua wanaweza kuna Young Money,
Cash Money, We the Best,pia wanatafuta vipaji vipya.swali cashmoney wataweza kutoa albam
100 kila mwaka nazitauzika?
Wednesday, November 28, 2012
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment