Tuesday, November 27, 2012
NGOMA YA KANYE WEST YAPATA TUZO
"Mercy,"ya Kanye Wests akiwashirikisha Big Sean, Pusha T and 2 Chainz, imeshinda Best Hip Hop Song of the Year, pia Tyrese na ngoma yake"Stay" Tyrese ameshinda Song of the Year, ana ya mwaka (Album of the Year )imechukuliwa na Frank Oceans albam Channel Orange.
Naye beyonce kachukua tuzo mbili Best Dance Performance for "Love On Top" na the Best R&B/Soul Female Artist.tuzo hizo zili hapen Las Vegas.
Labels:
yasin
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment