Tuesday, November 27, 2012
KAMPUNI YA MAGARI YA HONDA YATOA GARI LA KIKE.
Gari hili ni kwaajili ya mwanamke kwani linaitwa "She's." Kuna air conditioning inayolinda ngozi inaifanya iwe kavu, Kampuni ya Honda imeliambia Japanese newspaper,kuwa wameamua kutumia rangi ya pink kwa sababu wana"match a woman's eye shadow,"
Labels:
yasin
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment