Wachezaji wa timu ya
taifa ya Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Stars ‘ wakiwasili jana katika uwanja wa
ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam huku wakiwa wamevaa
headphone za beat by dre, wakitokea nchini Uganda kushiriki michuano ya Cecafa
Challenge iliyomalizika juzi. Kilimanjaro Stars inadhaminiwa na Bia ya
Kilimanjaro Premium Lage
Tuesday, December 11, 2012
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment