Gwiji wa hip hop nchini marekani kanye west na mpenzi wake
kim kardashian wameamuakununua nyumba hiyo kufuatana na taarifa kua mpenzi wake
kim kardashian ni mjamzito .pia nyumba hiyo itakarabatiwa na kuongezwa "gym,
movie theater, full hair and makeup salon, bowling alley, basketball court,
indoor and outdoor pool.nyumba hiyo ipo Bel Air, California.
Thursday, January 10, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment