Mabingwa wa
Afrika Mashariki na Kati Yanga wakifanya mazoezi katika uwanja wa Fame
Residence Footbal nchini uturuki katika ziara ya mafunzo nchini humo. Yanga
inayodhaminiwa na Kilimanjaro Premium Lager ipo nchini humo kujiandaa na
mzunguko wa pili Ligi Kuu Tanzania Bara.
Friday, January 4, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment