Mazishi ya
aliekuwa muigizaji nguli nchini SAJUKI yanatarajiwa kufanyika leo baada ya sala
ya Ijumaa katika makaburi ya Kisutu. Mwenyekiti wa kamati ya mazishi Steve
Nyerere amesema mwili wa marehemu utapelekwa nyumbani kwao Tabata kabla ya
kupelekwa msikiti wa Ijumaa na baada ya hapo utapelekwa makaburi ya Kisutu kwa
ajili ya kupumzishwa katika nyumba ya milele.kipindi cha The storm,kilifmKilimanjaro
kinazidi kuwapa pole ndugu, jamaa, marafiki na mashabiki wa Sajuki. Pumzika kwa
Amani Juma Kilowoko.
Friday, January 4, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment