Msanii Jarule
mwaka huu 2013 hatasherehekea siku yake ya kuzaliwa kwasababu mwaka huu ni
mfupi, ikimaanisha mwezi wa 2 umeishi tarehe 28 wakati yeye Jarule amezaliwa
tarehe 29 mwezi wa 2.Jarule juzi kati tu tarehe 21 alitoka jela lakini
alijikuta akiwa chini ya ulinzi tena kutoka na madeni ya kodi anayodaiwa.
Friday, March 1, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment