Member wa YMCMB
lil wayne amelipa kodi mwaka 2008 ($3 million  2008) 
huku mwaka 2009 amelipa  $2
million.kiasi kilicho baki ni 2 million dola  na zaid. hii report imetolewa na Miami Dade
County records.
inadaiwa
mwezi September, Weezy amenunua  nyumba
huko La Gorce island ambaayo imemgarimu kiasi cha dola$11 million.

 
 
0 comments:
Post a Comment