Stereo kutoka tamaduni musik amesign new label ya
A.Y,inayojulikana kama UNITY
ENTERTAINMENT.mkataba ambao walisign tarehe
12.12.2012chini ya mwanasheria Anna
Mwakatundu na MR.Arthur Samuel.
Leo nimeongea na
stereo naye amesema kwasasa atafanya kazi popote iwe kwa duke.lamar mj
records,au bongo records.na ameingia mkataba wa mwaka mmoja.kwasasa stereo
anakuja na project mpya kwaajili ya watu wake,kuhusu tamaduni music jamaa
amesema management yake italitolea ufafanuzi hilo japo tamaduni music ni sehemu huru.
0 comments:
Post a Comment