Pages

Labels

Monday, January 28, 2013

KWA HIZI PUNCH LINE ZA NIKI MBISHI LAZIMA BEEF LIFUKUTE



Neema anakata mkwanja pay mdebwedo,
Mbishi siwezi kuruka kwa huyu Ney wa mitego,
Kung fu sex sensei kwenye temple,
Jinsi anavyonipa ndogo ni zaidi ya gay mwenye pepo,

Ni moja ya stanza toka kwenye track yangu iitwayo "NEY WA MITEGO"...msiitafsiri vibaya haimhusu mtu mwingine bali dem aitwaye NEEMA ambaye ananitega kiasi ambacho sina ujanja kwake#ASANTENI...itapatikana kwenye album yangu na Godzilla...

0 comments:

Post a Comment

 

Blogger news

Blogroll

About